• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 31, 2019

  AGUERO AFUNGA MAWILI MAN CITY YAICHAPA BRIGHTON 4-0

  Sergio Aguero akiifungia Manchester City bao lake la pili dakika ya 55 baada ya kufunga lingine dakika ya 42 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion leo Uwanja wa Etihad kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya mabingwa hao watetezi yamefungwa na Kevin de Bruyne dakika ya pili na Bernardo Silva dakika ya 79 
     
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AGUERO AFUNGA MAWILI MAN CITY YAICHAPA BRIGHTON 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top