• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 19, 2019

  TANZANIA YAANZA VIBAYA MICHUANO YA CECAFA U15, YAPIGWA 2-0 NA UGANDA

  Kikosi cha Tanzania ambacho leo kimeanza vibaya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati chini ya umri wa miaka 15 (CECAFA U15) baada ya kufungwa 2-0 na Uganda (picha ya chini), mabao ya Travis Mutyaba dakika ya 27 na 80 mjini Asmara, Eritrea  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TANZANIA YAANZA VIBAYA MICHUANO YA CECAFA U15, YAPIGWA 2-0 NA UGANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top