• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 31, 2019

  TAMMY ABRAHAM APIGA MBILI LAKINI CHELSEA YALAZIMISHWA SARE 2-2

  Tammy Abraham akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Chelsea dakika za 19 na 43 kabla ya Sheffield United kusawazisdha kwa mabao ya Callum Robinson dakika ya 46 na Kurt Zouma aliyejifunga dakika ya 89 katika sare ya 2-2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAMMY ABRAHAM APIGA MBILI LAKINI CHELSEA YALAZIMISHWA SARE 2-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top