• HABARI MPYA

  Sunday, August 06, 2017

  SOL CAMPBELL 'ALIVYOJIACHIA' NA MASHABIKI WA ARSENAL JANA DAR

  Beki wa zamani wa kimataifa wa England na klabu ya Arsenal, Sol Campbell akifurahia na mashabiki wa The Gunners mjini Dar es Salaam jana. Campblell leo atajumuika na mashabiki wa timu hiyo viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam kutazama mechi ya Ngao ya Jamii kati ya Arsenal na Chelsea
  Shabiki wa kike Arsenal akimfurahia Sol Campbell aliyewasili nchini jana kwa mwaliko wa kampuni ya Sport Pesa
  Sol Campbell alionyesha ucheshi wa kutosha kwa mashabiki wake timu yake hiyo ya zamani

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SOL CAMPBELL 'ALIVYOJIACHIA' NA MASHABIKI WA ARSENAL JANA DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top