// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMON MSUVA AKOSA BAO LA WAZI, DIFAA YATOA SARE 1-1 MOROCCO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMON MSUVA AKOSA BAO LA WAZI, DIFAA YATOA SARE 1-1 MOROCCO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, August 17, 2017

    SIMON MSUVA AKOSA BAO LA WAZI, DIFAA YATOA SARE 1-1 MOROCCO

    Winga wa Difaa Hassan El-Jadida, Simon Msuva (kulia) akikosa bao la wazi akiwa amebaki na kipa katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Renaissance Sportive de Berkane jana Uwanja wa El Abdi mjini Jadida, Morocco timu hizo zikitoka sare ya 1-1 
    Simon Msuva ameendelea kufanya vizuri katika timu yake mpya aliyojiunga nayo akitokea Yanga ya Tanzania
    Simon Msuva akipoga hesabu kabla ya kutia krosi 

    Simon Msuva akimiliki mpira uwanjani jana katika mchezo huo wa kwanza baada ya kurejea ziara ya Hispania kwenye maandalizi ya msimu mpya 

    Simon Msiuva (wa kwanza kushoto mbele) katika kikosi cha kwanza cha Difaa Hassan El-Jadida jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMON MSUVA AKOSA BAO LA WAZI, DIFAA YATOA SARE 1-1 MOROCCO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top