Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho akiwasili Uwanja wa Ndege wa Manchester, England na wasaidizi wake kutoka Macedonia, ambako jana walifungwa mabao 2-1 na Real Madrid katika mchezo wa Super Cup ya UEFA mjini Skopje. Mourinho sasa anakwenda kuwaandaa vijana wake kwa ajili ya mchezo wa Jumapili dhidi ya West Ham Jumapili Uwanja wa Old Trafford PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Messi becomes World Cup all-time leading scorer - how has he stayed at the
top?
-
As he becomes the top goalscorer in World Cup history, BBC Sport explores
how Lionel Messi is still delivering on the biggest stage in his late 30s.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment