ENZI ZA BAMCHAWI SIMBA PIA ILIKUWA KANYAGA TWENDE, STAREHE TUPU
Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Amir Ally Bamchawi (sasa marehemu) akisalimiana na wachezaji wa timu yake hiyo Uwanja wa Taifa, sasa Uhuru mjini Dar es Salaam mwaka 1994 kabla ya moja ya mechi zake
0 comments:
Post a Comment