Bondia Manny Pacquiao akishangilia baada ya ushindi wa pointi dhidi ya Jessie Vargas katika pambano la raundi 12 mjini Las Vegas asubuhi hii na kutwaa taji la WBO uzito wa Welter. Pacquiao aliyemdondosha chini Vargas raundi ya pili anafikisha miaka saba bila ushindi wa Knockout (KO) baada ya ushindi wa jana wa pointi, ingawa ameshinda taji la 11 kihistoria PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Angryginge says he was abused online for ‘standing up to racism’
-
Posts on his Instagram story showed a number of abusive and threatening
comments he claimed to have received.
3 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment