ENZI ZAO LUNYAMILA, CHAMBUA, TUNGARAZA, MTWA NJE YA UWANJA
Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kutoka kulia Mtwa Kihwelo, James Tungaraza (sasa marehemu), Sekilojo Chambua na Edibily Lunyamila wakiwa Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Bahrain Juni 11, mwaka 1994 kusubiri kuunganisha ndege kwa safari
0 comments:
Post a Comment