Mfungaji wa mabao mawili ya Brazil, Gabriel Barbosa katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Denmark kwenye mchezo wa Kundi A Olimpiki soka Rio 2016, akimrukia Nahodha wake, Neymar baada ya kufunga bao la kwanza usiku wa kuamkia leo mjini Salvador. Mabao mengine ya Brazil yalifungwa na Gabriel Jesus na Luan na sasa wenyeji hao watamenyana na Colombia katika Robo Fainali, wakati Denmark itakutana na Nigeria PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Nigeria can’t build strong economy without security –Gbenga Daniel
-
Former Governor of Ogun State, Senator Gbenga Daniel, has said that Nigeria
cannot build a strong economy without security, nor can it sustain lasting
se...
59 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment