Mfungaji wa mabao mawili (dakika za 33 na 59) Joel Campbell (kulia) katika ushindi wa 8-0 jana dhidi ya Viking kwenye mchezo wa kirafiki mjini Stavanger, Norway usiku wa jana. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Santi Cazorla dakika ya 50, Theo Walcott dakika ya 53, Michael Haukas aliyejifunga dakika ya 55, Alex Iwobi dakika ya 71 na 81 na Chuba Akpom dakika ya 89, wakati Cazorla pia alikosa penalti dakika ya nne tu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mexico vs England - World Cup LIVE: All the reaction to 10-man Three Lions'
heroics as the players speak - but pundits lay into Thomas Tuchel's
post-match interview
-
Follow Daily Mail Sport's live coverage of the latest updates as Mexico
take on England in the last 16 of the World Cup in Mexico City.
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment