Mshambuliaji wa Ubelgiji, Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Jamhuri ya Ireland leo katika mchezo wa Kundi E Euro 2016 Uwanja wa Matmut-Atlantique mjini Bordeaux, Ufaransa. Bao lingine la Ubeligiji limefungwa na Axel Witsel PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment