Polisi wakizuia mioto iliyokuwa inarushwa uwanjani na mashabiki wa Croatia usiku wa jana Uwanja wa Stade Geoffroy-Guichard mjini Saint-Etienne, Ufaransa wakati timu yao inaingoza 2-1 katika mchezo uliomalizika kwa sare ya 2-2 na Jamhuri ya Czech katika mchezo wa Kundi D Euro 2016. Mabao ya Croatia yalifungwa na Ivan Perisic na Ivan Rakitic, kabla ya Czech kusawazisha kupitia kwa Milan Skoda na Tomas Necid PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment