Wachezaji wa Croatia wakishangilia baada ya kupata bao la katika ushindi wa rekodi wa 10-0 jana dhidi ya San Marino mjini katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa. Mario Mandzukic na Nikola Kalinic kila mmoja alifunga mabao matatu, mabao mengine yakifungwa na Srna, Ivan Perisic, Ivan Rakitic na Marko Pjaca PICHA ZAIDI GONGA HAPA
No need to panic for England - but this was a reality check
-
England's drab goalless draw with Ghana is no cause to panic - but it does
serve as a reality check, writes Phil McNulty.
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment