Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi ya Vodacom, Fatuma Abdallah (kushoto) akimkabidhi hundi ya Sh Milioni 1, kiungo wa Coastal Union, Godfrey Wambura (kulia) baada ya kuibuka mchezaji bora wa Februari mwaka huu. Zoezi hilo lilifanyika jana Uwanja wa Mkwakwani, Tanga baada ya mechi baina ya Coastal na Stand United. Coastal ilishinda 3-1.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment