Mshambuliaji Romelu Lukaku wa Everton akimuacha chini Danilo Silva wa Dynamo Kiev katika mchezo wa Europa League jana usiku Uwanja wa Goodison Park. Everton ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Steven Naismith na Lukaku, wakati bao la Dynamo lilifungwa na Oleg Gusev. Timu hizo zitarudiana mjini Kiev Alhamsi ijayo, Everton ikihitaji sare ili kwenda Robo Fainali.
World Cup: Türkiye stuns USMNT with 98th-minute goal
-
The U.S. failed to finish Group D play undefeated after Kaan Ayhan scored
the late game-winner for Türkiye. Next up for USMNT: Bosnia and Herzegovina
in th...
5 hours ago


.png)
0 comments:
Post a Comment