![]() |
| Kiungo wa Yanga SC, Andrey Coutinho akimtoka beki wa Shaba katika mchezo wa Kundi A Kombe la Mapinduzi usiku wa jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Yanga SC ilishinda 1-0 bao la Coutinho mwenyewe. |
![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga SC, Kpah Sherman akipambana na beki wa Shaba |
![]() |
| Andrey Coutinho akimtoka beki wa Shaba |
![]() |
| Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akipiga mpira pembeni ya beki wa Shaba |
![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa katika harakati jana Uwanja wa Amaan |
![]() |
| Beki wa Yanga SC, Juma Abdil akimtoka beki wa Shaba |








.png)
0 comments:
Post a Comment