Wazee wa mgomo: Wacheaji wa Cameroon wakiwasilu kwa ndege eneo la Galeao Aerial Base mjini Rio, tayari kushiriki Kombe la Dunia baada ya kusitisha mgomo wao wa madai ya posho uliowafanya wachelewe kuondoka nchini kwao jana.
Nyota wa timu: Alex Song (kushoto) na Samuel Eto'o kulia wakishuka kwenye ndege tayari kwa safari ya kambini kwao
0 comments:
Post a Comment