USWISI imetoka na nyuma na kushinda manao 2-1 dhidi ya Ecuador katika mchezo wa Kundi E Kombe la Dunia, mabao yote yakifungwa na wachezaji waliotokea benchi mjini Brasilia.
Admir Mehmedi alikuwa amedumu uwanjani kwa sekunde 121 tu wakati amnaifungia Uswsi bao la kusawazisha kufuatia Enner Valencia kuwafungia Ecuador la kuongoza.
Bao la Seferovic pia lilihakikisha hakuna safe katika michuano hiyo hadi sasa kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1934.



.png)
0 comments:
Post a Comment