KOCHA Roy Hodgson amewaanzisha pamoja washambuliaji Wayne Rooney, Danny Welbeck na Daniel Sturridge katika mchezo wa kwanza wa Kombe la Dunia wa England na Italia.
Kinda Rahim Sterling pia ameanzishwa katika mchezo huo wa Kundi D, wakati kwa Italia Mario Balotelli ameanzieha pia.
Kikosi cha England ni;: Hart, Johnson, Cahill, Jaglielka, Baines, Gerrard, Henderson, Sterling, Rooney, Welbeck and Sturridge
Italia; Sirigu, Chiellini, Paletta, Barzagli, Darmian, De Rossi, Pirlo, Veratti, Candreva, Marchisio and Balotelli.

0 comments:
Post a Comment