ENGLAND imelala mabao 2-1 mbele ya Italia katika mchezo wa Kundi D Kombe la Dunia usiku huu mjini Manaus.
Claudio Marchisio alianza kuifungia Italia dakika ya 35 kabla ya Daniel Sturridge kusawazisha dakika mbili baadaye akimalizia krosi nzui ya Wayne Rooney.
Mario Balotelli aliyekuwa mwiba kwa safu ya ulinzi ya England leo, ndiye aliyeifungia bao la ushindi Italia dakika ya 50.
0 comments:
Post a Comment