Sare ya kwanza; Ashkan Dejagah wa Iran kushoto akikabiliana na beki wa Nigeria, Joseph Yobo katika mchezo wa Kundi F Kombe la Dunia usiku huu nchini Brazil. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana, hiyo ikiwa ni sare ya kwanza katika michuano ya mwaka huu. Nigeria ilicheza soka safi na kutawala mchezo, lakini ikashindwa kuziona nyavu wa Iran.
Barcelona keep close eye on Harry Kane contract talks with Bayern Munich -
with the England captain seeking a three-year deal to stay in Germany
-
SIMON JONES: Kane is understood to want a three-year deal and, as Daily
Mail Sport revealed earlier this summer, Barca have made their interest
known.
10 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment