• HABARI MPYA

    Monday, June 16, 2014

    CR 7 HADI HURUMA, CHEZEA 4-0!


    Haamini macho yake: Nahodha wa Ureno, Crsitiano Ronaldo akiwa amejishika kiuno baada ya timu yake kufungwa mabao 4-0 na Ujerumani katika mchezo wa Kundi G Kombe la Dunia jioni ya leo Uwanja wa Fonte Nova, Salvador, Bahia nchini Brazil
    Keeping him out: Hummels (right) goes to block a Ronaldo shot on goal
    Lakini alipambana: Beki wa Ujerumani, Mats Hummels (kulia akizuia shuti la Ronaldo aliloelekeza langoni 
    It's one on one: Ronaldo faces up Muller and attempts to beat the Germany forward
    Ronaldo akitafuta mboni za kumtoka Thomas Muller 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CR 7 HADI HURUMA, CHEZEA 4-0! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top