TIMU ya taifa ya Argentina usiku wa jana imeilaza Slovenia mabao 2-0 katika mchezo wao wa mwisho wa kujiandaa na Kombe la Dunia, shukrani kwao Ricardo Alvarez na Lionel Messi waliofunga.
Alvarez alifunga kipindi cha kwanza akiwa ndani ya eneo la penalty kabla ya Messi kufunga la pili dakika ya 67.
Messi, Sergio Aguero na Angel Di Maria wote walitokea benchi kipindi cha pili.
0 comments:
Post a Comment