• HABARI MPYA

    Sunday, June 08, 2014

    DAVID VILLA AFUNGA MABAO YOTE HISPANIA IKICHAPA MTU 2-0

    MSHAMBULIAJI David Villa amefunga mabao mawili usiku wa jana Hispania ikishinda 2-0 dhidi ya El Salvador katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na Kombe la dunia.
    Mkongwe huyo sasa anafikisha jumla ya mabao 58 aliyoifungia timu yake ya taifa, wakati akijiandaa kwenda Kombe la Dunia.
    Hispania watacheza mechi yao ya kwanza ya Kundi B Kombe la Dunia dhidi ya Uholanzi katika Jiji la Salvador Ijumaa.
    Mtu wa mabao: David Villa akishangilia baada ya kuifungia Hispania dhidi ya El Salvador jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DAVID VILLA AFUNGA MABAO YOTE HISPANIA IKICHAPA MTU 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top