Namchukua mpenzi: Mchumba wa mshambuliaji wa Italia, Mario Balotelli, Neguesha akipiga picha usiku wa jana wakati wa mechi ya Kundi D Kombe la Dunia dhidi ya England. Balotelli aling'ara na kufunga bao la ushindi Azzuri ikiwalaza Three Lions 2-1 mjini Manaus, Brazil.
Neguesha akifurahia Uwanja wa Amazonia na chini na mum ewe mtarajiwa akipasua katikati ya wachezaji wa England, Steven gerard na Wayne Rooney kulia



.png)
0 comments:
Post a Comment