MSHAMBULIAJI wa Marekani, Clint Dempsey jana amefunga bao ambalo moja kwa moja linakwwnda nafasi ya tano katika orodha ya mabao ya mapema zaidi kwenye historia ya Kombe la Dunia.
Mshambuliaji huyo wa zamani wa Fulham na Tottenham alifunga bao dekunde ya 29 tu jana, Marekani ikishinda 2-1 mchezo huowa Kundi G mjini Natal, Brazil.
Lakini Dempsey jana aliumizwa pua na mchezaji wa Ghana, John Boye.
MABAO YA MAPEMA ZAIDI KOMBE LA DUNIA
Hakan Sukur (2002): sekunde ya 11 Korea Kusini
Vaclav Masek (1962): sekunde ya 16 Mexico
Ernst Lehner (1934): sekunde ya 25 Austria
Bryan Robson (1982): sekunde ya 27 Ufaransa
Clint Dempsey (2014): sekunde ya 29 Ghana
Bernard Lacombe (1978): sekunde ya 30 Italia
Emile Veinante (1938): sekunde ya 35 Ubelgiji
Arne Nyberg (1938): sekunde ya 35 Hungary
Florian Albert (1962): sekunde ya 50 Bulgaria
Adalbert Desu (1930): sekunde ya 50 Peru

Nusu ang'olewe pua: Mshambuliaji huyo wa Marekani akiwa amelala chini baada ya kuumizwa pua na John Boye wa Ghana
Hapa ndipo Clint Dempsey alipoumizwa pus na John Boye dakika ya 33

.png)
0 comments:
Post a Comment