• HABARI MPYA

    Monday, June 16, 2014

    PICHA LILIVYOKUWA PEPE NA MULLER HADI KADI NYEKUNDU...

    Ilianza hivi: Thomas Muller wa Ujerumani (kushoto) akipambana na Pepe wa Ureno kuwania mpira katika mchezo wa Kundi G Kombe la Dunia jioni ya leo mjini Fonte Nova, Salvador, Bahia, Brazil. Tazama mkono wa Pepe kwenye uso wa Muller. Ujerumani ilishinda 4-0
    Theatrical: Muller goes over the top in his reaction to being caught by Pepe's arm
    Muller akilalamika kuumia baada ya kukabiloiana na Pepe
    Going down easily: Muller (left) falls to the floor holding his face
    Muller akajiangusha chini kiulaini akiwa ameshika uso wake
    Argument: Pepe has a go at Muller following the incident
    Pepe akakasirika na kumfuata Muller kumpa maneno
    Headcase: Pepe butts Muller while the German is sat on the floor
    Pepe akaenda kumsukuma kwa kichwa Muller wakati ameketi chini
    Startled: Muller reacts in shock and disbelief after Pepe's ridiculous headbutt
    Muller akapiga kelele tena kulalamika kuumizwa tena kichwani
    Squaring up: Muller angrily reacts after the Portugal defender's act of violence
    Muller akainuka na kuanza kuwekeana mkwara na Pepe
    Off you go: Pepe (second right) is sent off as Muller (left) is held back by team-mate Toni Kroos
    Kadi nyekundu: Pepe (wa pili kushoto) akionyeshwa kadi nyekundu huku Muller (kushoto kabisa) akizuiwa na mchezaji mwenzake, Toni Kroos asiende kugombana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PICHA LILIVYOKUWA PEPE NA MULLER HADI KADI NYEKUNDU... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top