![]() |
| Mwamvuli walijifunika watu kibao |
![]() |
| Wengine hawakujali kabisa mvua na walikuwa wakicheza na kuimba |
![]() |
| Wakubwa walikuwa eneo la VIP, mvua haikuwahusu |
![]() |
| Viongozi wa Azam FC wakikagua Uwanja |
![]() |
| Marefa wakikagua Uwanja huku mvu ikiendelea |
![]() |
| Wachezaji wa Azam FC hawakuwahi hata kushuka kwenye basi lao |
![]() |
| Katibu wa Azam FC, Nassor Idrissa 'Father' |










.png)
0 comments:
Post a Comment