![]() |
| La kwanza; Gaudence Mwaikimba kushoto akishangilia na Kipre Tchetche baada ya kufunga bao la kwanza jana |
![]() |
| Mwaikimba akipongezwa na wenzake |
![]() |
| Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco akipiga mpira kwa kichwa mbele ya beki wa Ruvu |
![]() |
| Mwaikimba akiwatoka mabeki wa Ruvu |
![]() |
| Mwaikimba jana alifanya kazi nzuri na kutoa mchango mkubwa mkubwa katika ushindi wa Azam |
![]() |
| John Bocco akiteleza kupiga mpira |
![]() |
| Mfungaji wa bao la pili la Azam FC, Himid Mao akimtoka beki wa Ruvu |
![]() |
| John Bocco ameanguka chini huku beki wa Ruvu akiondosha mpira hatarini |
![]() |
| Kiungo mbunifu, Salum Abubakar Salum 'Sure Boy' akifanya vitu vyake katikati ya wachezaji wa Ruvu |
![]() |
| Kikosi cha Azam FC jana |













.png)
0 comments:
Post a Comment