• HABARI MPYA

    Monday, September 02, 2013

    SIMBA SC NA MAFUNZO ILIVYOKUWA LEO...TAMBWE AONYESHA SI MCHEZO!

    IMEWEKWA SEPTEMBA 2, 2013 SAA 2:28 USIKU
    Mshambuliaji mpya wa Simba SC, Amisi Tambwe kulia akimtoka beki wa Mafunzo ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 4-3, Tambwe akifunga mabao mawili.

    Beki mpya wa Simba SC, Kaze Gilbert akimdhibiti mshambuliaji wa Mafunzo, Ally Othman

    Hamadi Hajji wa Mafunzo kulia akigombea mpira na Issa Rashid 'Baba Ubaya' wa Simba SC

    Rashid Ismail wa Simba akipambana na mabeki wa Mafunzo

    Ramadhani Singano wa Simba kushoto akiondoka na mpira, huku Rashid Ismail akimdhibiti mchezaji wa Mafunzo

    Ramadhani Singano wa Simba akimtoka beki wa Mafunzo, Heri Salum

    Heri Salum wa Mafunzo akiondosha mpira miguuni mwa Amisi Tambwe

    Andrew Ntalla wa Simba akiruka bila mafanikio kuokoa mpira uliotinga nyavuni kuipatia bao la kwanza Mafunzo

    Ramadhani Chombo 'Redondo' akijiandaa kupiga krosi

    Mafunzo wakishangilia bao lao la kwanza

    Heri Salum anaondosha mpira kwenye hatari mbele ya Rashid Ismail

    Kocha Mkuu Abdallah Kibadeni kushoto akiwa na Msaidizi wake, Jamhuri Kihwelo 'Julio'

    Hawa ndio Mafunzo walioitoa jasho Simba SC leo

    11 wa Simba SC walioanza leo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: SIMBA SC NA MAFUNZO ILIVYOKUWA LEO...TAMBWE AONYESHA SI MCHEZO! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top