• HABARI MPYA

    Monday, September 02, 2013

    LIVERPOOL YASAJILI MABEKI WAWILI KWA MPIGO

    IMEWEKWA SEPTEMBA 2, 2013 SAA 2:14 USIKU
    KLABU ya Liverpool imethibitisha kusajili mabeki Tiago Ilori kutoka Sporting Lisbon na Mamadou Sakho kutoka Paris Saint-Germain.
    Wachezaji wote hao waliishuhudia timu hiyo jana ikiilaza 1-0 Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England katika jukwaa la madakatri Uwanja wa Anfield na walisaini mikataba yao baada ya kukamilisha vipimo vya afya katika Uwanja wa mazoezi wa klabu, Melwood.
    Ilori, aliyezaliwa London, amezichezea timu za taifa za vijana za Ureno chini ya umri wa miaka 18, 19 na 20.
    Ilori ambaye ni beki kama Sakho, akiwa na umri wa miaka 23, amekwishaichezea mechi 14 Ufaransa, na amesaini Mkataba wa muda mrefu Anfield.
    New boy: Ilori is Liverpool's sixth summer signing
    Silaha mpya: Ilori ni mchezaji wa sita kusajiliwa Liverpool majira haya ya joto
    Sakho shows off his new home shirt
    Sakho akionyesha jezi yake mpya
    Ilori (middle) was spotted with Sakho (left) and fellow new signing Victor Moses (right) at Anfield on Sunday
    Ilori (katikati) akiwa na Sakho (kushoto) na mchezaji mwingine mpya, Victor Moses (kulia) Uwanja wa Anfield jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: LIVERPOOL YASAJILI MABEKI WAWILI KWA MPIGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top