IMEWEKWA SEPTEMBA 3, 2013 SAA 4:23 ASUBUHI
Wameungana tena: Marouane Fellaini akiwa na kocha David Moyes baada ya kusaini Manchester United akitokea Everton jana kwa Pauni Milioni 27.5.
Kifaa kipya katika uzi mpya: Fellaini akiwa na jezi ya Manchester United
Huyu hapa: Fellaini akiwasili na Moyes makao makuu ya Man United, Carrington


.png)