• HABARI MPYA

    Thursday, April 11, 2013

    AZAM FC ILIVYOJISOGEZA MGONGONI KWA YANGA LEO

    Kiungo wa Azam FC, akiruka miguu ya kiungo wa African Lyon katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam, Azam ilishinda 3-1.

    Mashabiki wa Azam wakiishangilia timu yao leo Chamazi

    Kiungo wa Azam FC, Jabir Aziz Stima akipasua katikati ya wachezaji wa African Lyon

    Urithi wa Baba; Mtoto Raiyan akiwa amebebwa na baba yake, Salum Nassor wote wamevaa jezi za Azam leo Chamazi. Kushoto ni rafiki yake Salum, Abdulhadi
    Joackins Atudo wa Azam FC akigombea mpira wa juu na mshambuliaji wa Lyon 


    Ushindi raha; Kocha wa Azam FC, Muingereza Stewart Hall akitembea kwa madaha Chamazi leo

    Mfungaji wa mabao mawili ya Azam FC leo, Kipre Tchetche akiwatoka mabeki wa Lyon

    Wamemkalisha; Kipre Tchetche akiwa chini baada ya kuangushwa na mabeki wa Lyon

    Chenga; Kiungo wa Azam FC, Humphrey Mieno aliyetoa pasi ya bao la tatu lililofungwa na Kipre Tchetche akimlamba chenga beki wa Lyon kabla ya kutoa pasi ya bao 

    Mieno na Kipre wakishangilia matunda ya kazi yao

    Mieno akimuacha chini beki wa Lyon tayari kutoa pasi ya bao

    Furaha ya ushindi; Wachezaji wa Azam wakishangilia

    Ushindi raha bwana
    Wastaafu; Wachezaji wa zamani wa timu mbalimbali, kutoka kulia Habib Kondo, Ngawina Ngawika, Yahya Issa, Abubakar Mtiro na Victor Costa wakifuatilia mechi hiyo leo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: AZAM FC ILIVYOJISOGEZA MGONGONI KWA YANGA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top