• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 24, 2012

  YANGA NA POLISI MORO KATIKA PICHA

  Haruna Niyonzxma akiambaa na mpira

  David Luhende akivuta tela lake

  Haruna Niyonzima baada ya kutia krosi

  Mbuyu Twite akimdhibiti Nicholas Kabipe wa Polisi, huku Nahodha Nsajigwa Shadrack akiwa tayari kutoa msaada

  Jerry Tegete akiwania mpira na beki wa Polisi

  Penalti...Msuva akiwa ameangushewa kwenye eneo la hatari na beki wa Polisi kulia

  Barthez amedaka

  Kocha Ernie Brandts akimpongeza Kavumbangu baada ya mechi, kulia Kocha Msaidizi Freddy Felix Minziro
  Hatari kwenye lango la Polisi
  Msuva akienda chini baada ya kupigwa kwanja na beki wa Polisi (hayupo pichani)
  Msuva akishangilia bao lake
  Hatari kwenye lango lango la Yanga 
  Kavumbangu anamuwajibisha beki wa Polisi
  Kavumbangu anafanya vitu
  Kiiza katika mishe mishe
  Kiiza anakwenda
  Hatari kwenye lango la Yanga
  Nahodha Nsajigwa anatia krosi
  Kazi kazi
  Kavumbangu anazuia mpira uliopigwa na mchezaji wa Polisi
  Msuva alipofunga bao lake 
  Kavumbangu akichomoka kushangilia baada ya kufunga
  Tegete akishangilia na Kavumbangu
  Kavumbangu akisababisha


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: YANGA NA POLISI MORO KATIKA PICHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top