• HABARI MPYA

  Tuesday, October 30, 2012

  DI CANIO: KUWAFUNGA VILLA TAMU KULIKO PENZI LA MADONNA


  KOCHA Paolo Di Canio amesema kwamba Swindon kuifunga Aston Villa katika michuano ya Kombe la Capital One itakuwa tamu kuliko kulala kitandani na Madonna.
  Di Canio anaikaribisha Villa kwenye Uwanja wa County Ground leo usiku na kocha huyo wa Robins amepania kuwafunga wapinzani wake hao wanaocheza Ligi Kuu England.
  Mtaliano huyo anakumbukwa mno kwa kuifungia bao la ushindi West Ham dhidi ya Manchester United katika Kombe la FA mwaka 2001.
  She shoots, she scores: Madonna or victory over Aston Villa - it's a tough choice
  Madonna 
  Up for the cup: Paolo Di Canio is looking forward to facing Aston Villa
  Paolo Di Canio


  Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2225137/Sex-Madonna-good-beating-Aston-Villa-says-Paolo-Di-Canio.html#ixzz2Anwgd7Sk
  Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: DI CANIO: KUWAFUNGA VILLA TAMU KULIKO PENZI LA MADONNA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top