"KASEJA, KULIKONI KUKAA BENCHI NA KIBADENI HUKU, SI BORA NIJE NIKAE NA MILOVAN HUKO, NIFANYIE MPANGO BASI KAKA
Kipa wa akiba wa Kagera Sugar, Mganda Hannington Kalyesebula, akisalimiana na kipa namba moja wa Simba SC na Nahodha wa timu hiyo, Juma Kaseja, baada ya mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, baina ya timu hizo juzi, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 2-2.
Item Reviewed: "KASEJA, KULIKONI KUKAA BENCHI NA KIBADENI HUKU, SI BORA NIJE NIKAE NA MILOVAN HUKO, NIFANYIE MPANGO BASI KAKA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry