• HABARI MPYA

    Saturday, October 20, 2012

    ROONEY APIGA MBILI MAN UNITED IKIUA 4-2, VAN PERSIE NA WELBECK NAO WAFUNGA


    Wayne Rooney amefunga mabao mawili na kuanza mapema kusherehekea  miaka yake 27 ya kuzaliwa wakati Manchester United' ikiifunga 4-2 Stoke, hivyo kutimiza mabao 200 katika klabu hiyo. Mabao mengine yalifungwa na Danny Welbeck na Robin van Persie.

    TAKWIMU ZA MECHI

    Man United: De Gea, Da Silva, Ferdinand, Evans, Evra, Valencia (Nani 74), Scholes (Anderson 70), Carrick, Welbeck (Hernandez 78), Van Persie, Rooney
    MABAO: Rooney dk27, dk65, Van Persie dk44, Welbeck dk46
    NJANO: Scholes
    BENCHI: Lindegaard, Giggs, Powell, Wootton

    Stoke: Begovic, Cameron, Huth, Shawcross, Wilson, Nzonzi, Whitehead (Palacios 86), Walters (Etherington 70), Adam, Kightly (Owen 74), Crouch
    MABAO: Rooney (kujifunga) dk 11, Kightly dk58
    NJANO: Kightly
    BENCHI: Sorensen, Jones, Upson, Wilkinson
    REFA: Anthony Taylor (Cheshire)

    The right end: Wayne Rooney (No 10) cancels out his own goal with a header to draw Manchester United level
    Wayne Rooney (Na 10) akifunga kwa kichwa



    That's more like it: The familiar feeling of scoring at the right end delighted Wayne Rooney
    Wayne Rooney baada ya kufunga
    Ground force: Robin van Persie watches his effort find the net for Manchester United against Stoke
    Robin van Persie akishuhudia mpira unavyotinga nyavuni baada ya jitihada zakeOuch: Stoke keeper Asmir Begovic collides with Robin van Persie as he attempts to clear the danger
    Kipa wa Stoke, Asmir Begovic akimvaa Robin van PersieOh no: Wayne Rooney wanted the ground to swallow him up after giving Stoke the lead
    Wayne Rooney alifanya kosa lililolipa Stoke bao la kuongoza
    Low blow: Danny Welbeck hit the deck as he helped himself to a goal at Old Trafford
    Danny Welbeck akishughulika
    Three and easy: United forwards Wayne Rooney (left), Robin van Persie and Danny Welbeck (right) all scored
    Washambuliaji wa United, Wayne Rooney (kushoto), Robin van Persie na Danny Welbeck (kulia)  wote walifunga

    SOURCE: http://www.dailymail.co.uk
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: ROONEY APIGA MBILI MAN UNITED IKIUA 4-2, VAN PERSIE NA WELBECK NAO WAFUNGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top