• HABARI MPYA

  Monday, October 22, 2012

  SHABIKI ALIYEMTANDIKA KIPA WA KUJIANGUSHA ANGUSHA KUPOTEZA MUDA ENGLAND ATUPWA JELA MIEZI MINNE

  SHABIKI Aaron Cawley - ambaye aliingia uwanjani na kumshambulia mlinda mlango Chris Kirkland, amehukumiwa kifungo jela miezi minne. 
  Kijana huyo mwenye umri wa miaka 21, kutoka Cheltenham, alimvamia kipa huyo wa Sheffield Wednesday katika mechi ya timu yake ya nyumbani, Leeds Ijumaa usiku na kumshambulia kwa sababu alikuwa anajiangusha kupoteza muda, timu hizo zikiwa zimefungtana 1-1.
  Mwendesha Mashitaka, Paul Macaulay alisema Cawley aliiambia Polisi alifanya hivyo kwa sababu alikuwa amelewa na hakumbuki kabisa tukio hilo, ambalo limeonwa na mamilio waliotazama Televisheni.
  Disgrace: The fan attacked Chris Kirkland
  Shabiki huyo akimshughulikia kipa Chris Kirkland
  Disgrace: The fan attacked Chris Kirkland
  Disgrace: The fan attacked Chris Kirkland

  VIDEO: Chris Kirkland akitandikwa na shabiki...   SOURCE: http://www.dailymail.co.uk
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: SHABIKI ALIYEMTANDIKA KIPA WA KUJIANGUSHA ANGUSHA KUPOTEZA MUDA ENGLAND ATUPWA JELA MIEZI MINNE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top