• HABARI MPYA

  Jumanne, Oktoba 30, 2012

  WACHEZAJI COASTAL UNION WALIVYOFAKAMIA KONI ZA AZAM KABLA YA KUCHEZA NA AZAM KESHOKUTWA

  Coastal Union ya Tanga imeendelea na mazoezi yake mjini Dar es Salaam kujiandaa na mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Azam FC keshokutwa kwenye Uwanja wa Chamazi, Dar es Salaam. Leo jioni wamefanya mazoezi ya mwisho kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi, Muhimbili, Dar es Salaam. Cheki picha za mazoezi yao. 

  Hapa wanakula Ice Cream za Azam baada ya mazoezi


  Kutoka kulia Lameck Dayton, Saidi Swedi na Suleiman Kassim 'Selembe'

  Atuepeke Green kulia

  Jakcosn Chove

  Nahodha Saidi Swedi 'Panucci'

  Selembe

  Benchi la Ufundi, kutoka kulia ni Kocha Msaidizi, Ally Kiddy, Kocha Mkuu, AHmed Morocco, Mkurugenzi wa Ufundi, Nassor Bin Slum na Kocha wa Makipa, Juma Pondamali
    
  Atupele Green anamtoka mtu mazoezini
  Atuepele Green kushoto
  Pamoja na kuwa Mkurugenzi wa Ufundi, lakini Nassor hufanya majukumu ya Kit Manager pia
  Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Iddi Moshi akiwa na kiungo wa Coastal, Mohamed Bin Slum
  Morocco akijadiliana na Pondamali
  Daniel Lyanga, mtambo wa mabao wa Coastal Union
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: WACHEZAJI COASTAL UNION WALIVYOFAKAMIA KONI ZA AZAM KABLA YA KUCHEZA NA AZAM KESHOKUTWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top