• HABARI MPYA

  Jumapili, Oktoba 28, 2012

  TWANGA PEPETA ILIVYOBURUDISHA LEO LEADERS CLUB

  Dogo Rama kushoto akiimba katika onyesho la bendi yake, African Stars 'Twanga Pepeta' jioni ya leo kwenye viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam

  Kalala Jr. kulia akiimba kwa hisia 

  Saleh Kupaza kulia na Luiza Mbutu kushoto

  Dogo Rama kushoto

  Mwinjuma Muumin kushoto na Badi Bakule kulia

  Mtu mzima Kizaizai kushoto akiwa Msaifri Diouf katika gari lake la hatari

  Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakifanya mambo ya hatari

  Wanenguaji wa Twanga Pepeta

  Wadau wakifuatilia burudani

  Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Janeth Isinike akiwa amepozi kabla ya kupanda jukwaani

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: TWANGA PEPETA ILIVYOBURUDISHA LEO LEADERS CLUB Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top