• HABARI MPYA

  Jumapili, Oktoba 28, 2012

  MAN UNITED WAIFUNGA CHELSEA KWA KUBEBWA KINOMA NA REFA


  ILIBIDI makocha Roberto Di Matteo na Sir Alex Ferguson watenganishwe wakati Manchester United iliposhinda kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 10 katika Ligi Kuu ya England dhidi ya Chelsea katika mechi iliyotawaliwa na utata.
  The Blues walimaliza mechi wakiwa na wachezaji tisa na wakifungwa kwa bao la ushindi la kuotea kwenye Uwanja wa Stamford Bridge na kufanya sasa waongoze ligi wakiizidi pointi moja tu Man United. 

  TAKWIMU ZA MECHI

  Chelsea: Cech, Ivanovic, Luiz, Cahill, Cole, Mikel, Ramires, Hazard (Sturridge 82), Oscar(Azpilicueta 66), Mata (Bertrand 72), Torres.
  BENCHI: Turnbull, Romeu, Moses, Marin.
  KADI: NJANO Torres, Mikel. NYEKUNDU: Ivanovic, Torres.
  WAFUNGAJI WA MABAO YAO: Mata 44, Ramires 53.

  Man Utd: De Gea, Da Silva, Ferdinand, Evans, Evra, Valencia, Carrick, Cleverley(Hernandez 65), Young, Rooney (Giggs 74), van Persie.
  BENCHI: Lindegaard, Anderson, Nani, Welbeck, Scholes.
  NJANO: Rooney.
  WAFUNGAJI WA MABAO YAO: Luiz (OG) 4, Van Persie 12, Hernandez 75.
  MASHABIKI WALIOHUDHURIA: 41,644
  REFA: Mark Clattenburg (Tyne & Wear)

  Celebrate good times: Hernandez wheels away in delight after scoring the winner
  Hernandez akishangilia bao la ushindi la kuotea aliloifungia Man United
  Job done: The home facts react angrily to Hernandez's strike in the 75th minute
  Hernandez akishangilia bao lake alilofunga dakika ya 75
  Going through: Torres skips pass the challenge of Jonny Evans...
  Torres akichukua pasi mbele ya Jonny Evans...
  ... before going down...
  ... Anaenda chini Torres
  ... and a second yellow card followed by a red from referee Mark Clattenburg
  ... Anapigwa njano ya pili na kuwa nyekundu, akidaiwa kujiangusha na refa Mark Clattenburg
  Spat: Ferguson and Di Matteo clash on the touchline with 70 minutes gone at Stamford Bridge
  Spat: Ferguson na Di Matteo wakigombana karibu na mstari wa Uwanja dakika 70 Stamford Bridge
  Dutch of class: Van Persie is mobbed after scoring Manchester United's second of the game
  Van Persie akipongezwa baada ya kuifungia Manchester United bao la pili
  On target: Chelsea star Mata scores from a free-kick shortly before the interval
  Nyota wa Chelsea, Mata akifunga kwa mpira wa adhabu
  On target: Chelsea star Mata scores from a free-kick shortly before the interval
  Head boy: Ramires draws his side level after 53 minutes
  Ramires akiisawazishia kwa kichwa Chelsea dakika ya 53 
  Going down: Ivanovic was given his marching orders after hauling down Ashley Young
   Ivanovic was alipewa kadi nyekundu baada ya kumuangusha Ashley Young
  Going down: Ivanovic was given his marching orders after hauling down Ashley Young
  Ivanovic akionyeshwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu Ashley Young
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: MAN UNITED WAIFUNGA CHELSEA KWA KUBEBWA KINOMA NA REFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top