• HABARI MPYA

        Friday, October 26, 2012

        NAOMI CAMPBELL AJENGEWA MJENGO WA HATARI WA BWANA AKE MRUSI


        BILIONEA Mrusi anayemmiliki Naomi Campbell amedhihirisha mapenzi yake mazito kwa mwanamitindo huyo kwa kumjenga nyumba mpya kaloi mjini Moscow, Urusi.
        Na si nyuma tu mradi nyumba, ni nyumba ambayo inaonekana kama Meli.  Hebu tazama picha za mjengo wenyewe.
        Taking over the universe together: Naomi Campbell's new house in Moscow, build by her billionaire boyfriend Vladislav Doronin, is definitely one of a kind
        Mjengo mpya wa Naomi Campbell Jijini Moscow, aliojengewa na bwana ake Mrusi, Vladislav Doronin unavyoonekana
        Campbell Enterprises: The house is shaped like a spaceship from TV's Star Trek
        Cheki kitu hicho
        In a galaxy far, far away: The house looks just a quirky on the inside
        Kwa ndani
        E.T. phone home? It looks like a set for a new sci-fi movie, but it really is Naomie Campbell's new home
        Upande wa pili kwa nje unavyoonekanaInside the spaceship: The house is said to have its own gym, pool and spa
        Nyumba hiyo ina gym, pool na spa
        Smooth curves: Zaha Hadid is the brains behind the futuristic mansion
        Cheki kitu hichoCosy night in: The home features a futuristic style both inside and outside
        Mambo ya fedha
        Something out of a science fiction movie: Architect Zaha Hadid is known for her quirky style
        Fedha ni nomaFamily home: The couple have been together for four years and are rumoured to be tying the knot soon
        Ntumba ya familia
        Ready for lift-off: The house features dynamic views overlooking the forest
        Kwa mbali kitu kinavyoonekanaOut of this world: The creation looks like it could have been a spaceship in Star Trek, pictured here, as opposed to a lavish new home
        Bond style: The private couple enjoyed a night out at the Skyfall premiere in London earlier this week
        Akiwa staili ya Bond: Skyfall akiwa na mpenzi wake Naomi Jijini London wiki hii

        SOURCE: http://www.dailymail.co.uk
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: NAOMI CAMPBELL AJENGEWA MJENGO WA HATARI WA BWANA AKE MRUSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry