• HABARI MPYA

  Sunday, October 21, 2012

  BROOK SPECIAL ONE AMTANDIKA NDUGU YAKE MESSI NA KUILIPIA ENGLAND KISASI CHA BAO LA MKONO WA MUNGU LA MARADONA


  Kell Brook ametimiza ndoto zake za kuwania ubingwa wa dunia, baada ya jana usiku kumtwanga Muargentina Hector Saldivia katika raundi ya tatu kwenye ukumbi wa Motorpoint Arena mjin Sheffield.
  Bondia huyo Muingereza mwenye umri wa miaka 26, alionekana kumzidi mpinzani wake kuanzia kengele ya kwanza katika pambano lake la mwisho la mchujo kabla ya kuwania taji la IBF, uzito wa Welter ambalo anapenda kuligombea mapema mwakani.
  Brook aliahidi kumtandika Saldivia ili kuilipia timu ya taifa ya soka ya England kisasi cha bao la Mkono wa Mungu la Maradona. 
  Domination: Kell Brook takes the fight to Hector Saldivia
   Kell Brook kulia akizipiga na Hector Saldivia
  Showing his class: Brook goes to work on Saldivia
  Brook akimpa kitu Saldivia
  Down you go: Brook knocks down Saldivia
  Brook amemkalisha chini Saldivia
  On the floor: Brook finishes Saldivia with a knock down
  Brook amemmaliza Saldivia kwa kumkalisha chini
  Out for the count: Brook looks on as referee Howard Foster counts out Saldivia
   Brook akishuhudia mpinzania wake akihesabiwa na refa Howard Foster
  Celebration time: Brook celebrates his victory with his trainer
  Brook akishangilia na mwalimu wake
  No 1 contender: Brook celebrates with promotor Eddie Hearn
  Sasa ni mshindani Namba 1: Brook akishangilia na promota wake Eddie Hearn

  SOURCE: http://www.dailymail.co.uk
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: BROOK SPECIAL ONE AMTANDIKA NDUGU YAKE MESSI NA KUILIPIA ENGLAND KISASI CHA BAO LA MKONO WA MUNGU LA MARADONA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top