Theo Walcott usiku wa jana alipiga mabao matatu wakati Arsenal ikitoka nyuma na kushinda mabao 7-5 katika Robo Fainali ya Kombe la Ligi.
Last updated 31 Oct 2012 00:00 UK