• HABARI MPYA

    Sunday, June 10, 2012

    FABREGAS AINUSURU HISPANIA KULALA KWA ITALIA

    Di Natale

    Natale anafunga
    Fabregas baada ya kufunga na mpira wake
    Italia imetoka sare 1-1 hivi punde na Hispania katika Euro 2012. Italia walitangulia kupata bao, ambalo lilitiwa kimiani na Antonio Di Natale dakika ya 60 aliyetokea benchi kuchukua nafasi ya Mario Balotelli, kabla ya Cesc Fabregas kuisawazishia Hispania dakika nne baadaye. Pichani Fabregas akifunga bao la kusawazisha.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FABREGAS AINUSURU HISPANIA KULALA KWA ITALIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top