• HABARI MPYA

  Thursday, September 15, 2016

  REAL MADRID CHUPUCHUPU KUPIGWA NYUMBAANI NA WARENO

  Nyota wa Ureno, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha Real Madrid dakika ya 89 kabla ya Alvaro Morata kufunga la pili dakika ya nne ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika ya 90 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sporting Lisbon ya Ureno usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya. Sporting Lisbon ilitangulia kwa bao la Bruno Cesar dakika ya 47. Mchezo mwingine wa kundi hilo, Borussia Dortmund iliwafunga wenyeji, Legia Warszawa mabao 6-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID CHUPUCHUPU KUPIGWA NYUMBAANI NA WARENO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top