Hiki ndicho cha Simba SC katika msimu wa kwanza wa kocha Mkenya, James Aggrey Siang’a aliyeariki dunia juzi usiku kwao, Kenya. Kutoka kulia waliosimama ni Shekhan Rashid, Boniface Pawasa, Suleiman Matola, Geoffrey Mhando, Madaraka Suleiman na Joseph Kaniki. Waliochuchumaa ni Sekelo Barnabas, Qureish Ufunguo, Mwameja Mohammed na Steven Mapunda ‘Garrincha’. Ambaye amekatwa ni Nteze John. Kikosi hiki kilitwaa mataji matatu mwaka 2002, Kombe la Tusker, Ligi ya Muungano na Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, sasa Kombe la Kagame
At least 14 dead and dozens injured after crash between two passenger
trains in Indonesia
-
At least 84 people were injured in the accident
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment