• HABARI MPYA

  Tuesday, September 06, 2016

  ITALIA YAIFUMUA 3-1 ISRAEL KUFUZU KOMBE LA DUNIA

  Graziano Pelle akiifungia bao la kwanza Italia katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji Israel usiku wa jana Uwanja wa Sammy Ofer mjini Haifa katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia. mabao mengine ya Italia katika mchezo huo ambao beki wake tegemeo Giorgio Chiellini alitolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 55 baada ya kugombana na Tomer Hemed wakigombea mpira yalifungwa na Antonio Candreva na Ciro Immobile wakati la Israel lilifungwa na Tal Ben Haim PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ITALIA YAIFUMUA 3-1 ISRAEL KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top