• HABARI MPYA

  Wednesday, September 14, 2016

  BAYERN MUNICH NOMA SANA, SI WAMEIPIGA 5-0

  Mshambuliaji Mjerumani, Thomas Muller akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Bayern Munich katika ushindi wa 5-0 kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Rostov Uwanja wa Allianz Arena. Mabao mengine ya Bayern Munich yalifungwa na Robert Lewandowski kwa penalti, Joshua Kimmich mawili na Juan Bernat 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAYERN MUNICH NOMA SANA, SI WAMEIPIGA 5-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top